Latest Posts
TUZO ZA AMVCA NIGERIA YATAWALA, KENYA YASHINDA TUZO 6 TANZANIA IKITOKA KAPA
Wakenya wameshika nafasi ya pili kutawala katika tuzo za Africa Magic Viewers Choice Awards maarudu kama (AMVCA) zilizomalizika hivi punde hapa jijini Lagos, Nigeria. Wakenya wameshinda tuzo sita kati ya nane walizokuwa wakiwania na kuwapiga kumbo Watanzania kw aupande wa Afrika…
Askofu Aomba Radhi kwa Kumgusa Kifua Mwanamuziki
Askofu huyo aliyeongoza ibada ya mazishi ya gwiji wa muziki nchini Marekani Aretha Franklin ameomba msamaha baada ya kushutumiwa kwa kumgusa kifua mwanamuziki Ariana Grande mbele ya umati mkubwa uliohudhuria mazishi hayo. Picha zinamuonyesha Askofu Charles H Ellis wa tatu…
MIAKA 54 YA JWTZ: JENERALI MABEYO, MAKONDA WAFANYA USAFI
MKUU wa Majeshi yaUlinzi nchini (JWT), Venance Salvatory Mabeyo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, wameongoza maadhimisho ya mwaka wa 54 tangu kuundwa kwa jeshi hilo, kwa kufanya usafi jijini Dar es Salaam. Mabeyo na Makonda…
LIVERPOOL YAZIDI KUFANYA MAAJABU EPL, YAITWANGA LEICESTER 2-1
Kikosi cha Liverpool kimeendelea kuonesha dhamira ya kukirejesha kikombe cha Ligi Kuu England kwa kuicharaza Leicester City mabao 2-1 ikiwa kwao. Mabao ya Liverpool yamepachikwa kimiani na Sadio Mane mnamo dakika ya 10 pamoja na Robert Firmino katika dakika ya…
Bobi Wine: Aruhusiwa kuelekea Marekani kwa matibabu
Mbunge wa Uganda anayedaiwa kupigwa na wanajeshi ameruhusiwa kuondoka nchini humo , kulingana na maafisa wa polisi Hatua hiyo inajiri kufuatia madai kwamba mbunge huyo alipigwa mara kadhaa akiwa katika kizuizi cha jeshi, madai ambayo yamekataliwa na jeshi. Yeye na…