JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MATATIZO YANAPOZIDI UKOMBOZI UNAKARIBIA

Na William BHOKE Aliyewahi kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Yohane Paul I, amewahi kusema, “Eee Bwana nichukue nilivyo, lakini unifanye niwe kama unavyotaka wewe.” Kama wewe unapumua, kuwa na matatizo ni kanuni ya maisha. Matatizo katika maisha ni…

MAGUFULI AWAFUTA MACHOZI BUTIAMA, WANYONGE

Na Mwandishi Wetu Siku moja baada ya Gazeti la Jamhuri, kuandika kuhusu wazazi kuombwa michango wanapowapelek watoto wao shuleni huko wilayani Butiama, Mara.  Rais John Magufuli amepiga marufuku shule za msingi na sekondari nchini kuwafukuza wanafunzi kwa sababu ya kutochanga…

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa kosa la kumpiga shabiki anayeaminika kuwa ni wa Simba baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa mjini Bukoba. Tukio hilo limetokea baada…

Habari Mpya Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 23, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Januari,23, 2018 nimekuekea hapa.

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 22, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo JumatatuJanuari,22, 2018 nimekuekea hapa

FAWOPA Yapiga Msasa Wadau wa Elimu-Mtwara

Shirika lisilokuwa la kiserikali la faidika wote pamoja FAWOPA limetoa Elim kwa Wadau Mbalimbali wa sekta hiyo Juu ya uandaaji wa Bajeti na kuweza kuwasilisha kwa kamati za Shule ili kuweza kuzifanyia kazi Kwa lengo La kuondokana na migongano inayojitokeza…