Latest Posts
Baraza la Biashara Kenya laeleza madhara ya ongezeko la kodi kwenye mafuta
Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Kenya mwaka huu huenda ikapata athari mwaka 2018 kwa kiasi kikubwa kutokana na asilimia 16 ya kodi la ongezeko la thamani (VAT) kwenye mafuta, baraza la biashara la nchi hiyo limesema Ijumaa, wakitaja bei…
Vyombo vya usalama vyawaonya wananchi wa Uganda ughaibuni
Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewaonya wananchi wa Uganda walioko nje ya nchi ambao wanatoa matamko ya kuvunja amani, utulivu na haki binafsi za mtu yoyote hususan viongozi, watashughulikiwa ipasavyo watakapo rejea nchini. Onyo hilo limetolewa kufuatia kukamatwa kwa mtoto…
Baba wa Manyika JR Aelezea Sakata la Mwanaye
Peter ambaye ni baba mzanzi wa Peter Manyika, amefunguka kuhusiana na sakata la mtoto wake kujiengua kwenye timu ya Singida United akieleza kutolipwa stahiki zake. Peter amesema kuwa ni kweli mtoto wake ameshaondoka SIngida na sasa yupo katika kituo cha…
Mamji Aahidi Makubwa Yanga
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Matawi ya Yanga Dar es Salaam, Boas Ikupilika, Mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji amewaahidi kuisuka Yanga mpya kwenye dirisha dogo la Novemba. Manji pia ameahidi kumpa sapoti kubwa Kocha Mwinyi Zahera kuhakikisha sifa…
Obama Amshutuma Rais Trump
Aliyekuwa rais wa Marekani Barrack Obama amemshutumu mrithi wake Donald Trump na mambo ya ‘kipuuzi yanayotoka’ katika ikulu ya Whitehouse. ”Hii sio kawaida huu ni wakati usio wa kawaida na ni wakati hatari”, Obama aliwaambia wanafunzi katika chuo kikuu cha…