JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

SERA YA ELIMU BURE INAHITAJI UMAKINI

NA ALEX KAZENGA Kitendo cha Rais John Magufuli kuagiza kuchukuliwa hatua kwa watendaji na viongozi katika maeneo ambayo shule za msingi na sekondari bado zinaendeleza tabia ya kutoza michango kwa wazazi, hata baada ya Serikali kutangaza kutoa elimu bila malipo,…

MKAA MBADALA UNAVYOCHOCHEA HIFADHI YA MAZINGIRA KILIMANJARO

NA JAMES LANKA, MOSHI Ukataji hovyo wa miti kwa ajili ya kuni na kuchoma mkaa unaotumika na wananchi wengi hasa wa kipato cha chini na cha kati kuwa nishati ya kupikia, unachochea uharibifu wa mazingira katika Mkoa wa Kilimanjaro. Ingawa…

MIMBA ZA UTOTONI ZINAVYOATHIRI WANAFUNZI DODOMA

NA EDITHA MAJURA Wanafunzi wa kike 710 mkoani Dodoma hawakufanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka jana, kutokana na sababu mbalimbali, 67 kati ya hao wakitokana na ujauzito. Taarifa ya sekta ya elimu inayowasilishwa na Afisa Elimu wa Mkoa,…

CAF YATOA ONYO MICHEZONI

NA MICHAEL SARUNGI Tatizo la rushwa kupenya katika mpira wa miguu limelitikisa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kiasi cha kuamua kufuta posho za waamuzi kulipwa na vyama na mashirikisho Afrika. Sasa posho zao zitalipwa moja kwa moja kutoka CAF kwa waamuzi…

DK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE UMOJA WA NCHI ZA KIFALME ZA KIARABU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizunguma na Mtukufu Dk. Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi alipofika katika makaazi yake kwa mazungumzo akiwa katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Nchi za…

WAZIRI WA NISHATI ARIDHISHWA NA KAZI YA UJENZI WA NJIA YA UMEME KUELEKEA STIEGLERS GORGE

 Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ( wa Nne kushoto) akikagua maeneo ambayo miundombinu ya usafirishaji umeme inajengwa kuelekea katika eneo la Mto Rufiji utakapotekelezwa mradi wa uzalishaji umeme wa megawati 2100. Wa Tatu kulia ni Mkuu wa wilaya ya…