JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 26, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Ijumaa Januari,26, 2018 nimekuekea hapa

MSIBA WA GWAJIMA WAWAKUTANISHA MEMBE NA LOWASSA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa akiteta na Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani, Bernard Membe walipokutana leo katika msiba wa mama mzazi wa Askofu Josephat Gwajima nyumbani kwake Salasala, Dar es Salaam….

MWENYEZI MUNGU ANAZIDI KUTENDA MIUJIZA KWA TUNDU LISSU

  Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika…

Daktari wa timu ya Olimpiki Marekani Atupwa Jela

Aliyekuwa daktari wa timu ya Olimpiki Larry Nasser amehukumiwa kwenda jela miaka 175 baada ya kukutwa na makosa ya ukatili wa kingono dhidi wananawake na wana michezo. Katika kesi hiyo mashahidi 160 wamewasilisha ushahidi wao huku Nasser mwenyewe alikiri makosa…

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI SHARJAH EAST FISHING PROSESSING

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed, akiendelea na ziara yake katika Nchini za Umoja wa Falme za Nchi Kiarabu UAE, akitembelea Kiwanda cha Samaki Sharjah East Fishing Prosessing, kujionea utaalamu wa kuhifadhi samaki na…

NDUGU RAIS NAKUPONGEZA HATA KAMA HAWAPENDI

Ndugu Rais, nakupongeza kwa kuwaumbua akina ‘Grace’ wetu wanaokupigia chapuo uongezewe miaka ya urais. Wangekuwa ni watu wa kuona aibu wangetafuta mahali pa kuzificha sura zao. Lakini wauza utu sawa na wauza miili. Aibu waipate wapi? Kama Mugabe angempuuza Grace…