Latest Posts
Wingu jeusi’ linamnyemelea Koffi Olomide (2)
…Kutokana na tukio hilo Serikali ya Kenya ilimuamuru mwanamuziki huyo mwenye sauti nzito kuondoka mara moja nchini humo kutokana na kutokubaliana na vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake. Onyesho lililokuwa limepangwa kufanyika lilifutwa, wapenzi na mashabiki wake wakibaki wakisubiri kwa…
Maana ya hisa na aina zake kisheria
NA BASHIR YAKUB 1. Nini maana ya hisa? Hisa ni masilahi ya kila mwanachama aliyonayo katika kampuni fulani. Yaani wewe kama ni mwanahisa katika kampuni fulani, basi yale masilahi yako au kiwango chako cha uwekezaji ulichowekeza katika ile kampuni ndizo…
Ukombozi wa fikra kwa Watanzania (3)
Na William Bhoke Kwa uhalisia wake, bado Watanzania hatujajitambua, Watanzania tumekuwa kama mbuzi wa kiangazi. Mbuzi wa kiangazi wanazunguka kutwa nzima pasipo kuelewa wanaelekea wapi. Imepita takriban miaka 54 tangu taifa hili kupata uhuru, lakini cha ajabu ni kwamba bado…
LINI WATATHAMINIKA?
LINI WATATHAMINIKA 1: Japo wao ndo walezi, thamani yao ni ndogo, Hufanyishwa ngumu kazi, kuzidi punda mdogo, Wengi hutokwa machozi, ya kulemewa mizigo, Mama zetu vijijini, lini watathaminika? 2: Masaa kumi na mbili, mama anachapa kazi, Lile jua lote kali,…
CHAKUA walilia ruzuku, kuwapigania abiria
NA AGUSTINO CLEMENT, TUDARCO DAR ES SALAAM Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (Chakua) kimesema kimekuwa na wakati mgumu wa kutimiza majukumu yake ya kutetea haki za abiria kutokana na kukosa ruzuku kutoka serikalini. Chakua imekuwa ikiahidiwa na serikali kupata ruzuku…
Sheria mpya ya kulinda barabara kuanza Januari
NA MICHAEL SARUNGI, DAR ES SALAAM Serikali imetangaza kuanza kutumika kwa sheria mpya ya udhibiti wa uzito wa magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (East Africa Vehicle Load Control Act, 2016) kuanzia Januari mwakani ili kukabiliana na uharibifu wa barabara…