JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

JAJI MKUU AWATAKA WATUMISHI KUONGEZA IMANI YA MAHAKAMA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Juma akijiandaa kuanza Matembezi ya uzinduzi wa wiki ya Sheria leo jijini Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe akifuatiwa na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto ni Waziri…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 29, 2018

 Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumatau Januari,29, 2018 nimekuekea hapa

Magufuli Ahudhuria Msiba wa Jaji Kisanga Oyster Bay

Rais John Magufuli akisaini kitabu wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Jaji Robert Kisanga leo jijini Dar es Salaam. …Akiongea katika msiba huo katika kuwapa pole wafiwa.  Kulia ni Mama Janeth Magufuli, mke wa rais. …Akiwa na viongozi mbalimbali waliofika katika…

JUMUIYA YA WAZAZI CCM WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilitarajiwa kuchagua Wajumbe…

DK. SHEIN ATOA MSIMAMO KUHUSU MUDA WA KUKAA MADARAKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein amesema hayupo tayari kuongeza muda wa uongozi kutoka miaka mitano hadi saba kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Zanzibar. Dkt Shein amesisitiza kwamba, aliapa kuilinda katiba…

Haya Hapa Magazeti ya Leo Januari 28, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumapili Januari,28, 2018 nimekuekea hapa