JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

KOCHA CHELSEA AWATAJA WAFUNGA MABAO BORA LIGI KUU ENGLAND

Mshambuliaji wa Chelsea Eden Hazard anaweza kufunga mabao 40 msimu huu na kujishindia tuzo ya mfungaji mabao bora Ligi ya Premia, kwa mujibu wa meneja wa klabu hiyo Maurizio Sarri. Kwa mujibu wa BBC, Hazard alifunga mabao matatu dhidi ya…

Kimbunga Mangkhut chaua watu 30 Ufilipino chasambaa mpaka Hong Kong

Watu zaidi 30 wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino. Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa. Maeneo mengi ya kisiwa cha Luzon yamejaa maji, yakiwemo mashamba ambayo huzalisha mazao makuu nchini humo…

Julius Kalanga Aibuka Kidedea Jimbo la Monduli

MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA MONDULI. Julius Kalanga (Pichani) ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM, baada ya kupata kura 65, 714 dhidi ya kura 3,187 alizopata mshindani wake Yonas…

Emmanuel Amunike Aenda Mapumzikoni Hispania

Baada ya kuingoza Taifa Stars kwenda suluhu ya kutofungana na Uganda The Cranes katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza AFCON 2019, Kocha Emmanuel Amunike amekwea pipa kuelekea Hispania. Amunike ameondoka nchini na shirika la ndege ‘Qatar Airways’ kuelekea nchini huko…

Ndanda Fc Yaikazia Simba

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelazimishwa sare ya bila kufungana dhidi ya wenyeji wake, Ndanda FC. Hii ni sare ya kwanza kwa Simba baada ya ushindi mara tatu mfululizo. Simba walishambulia mara nyingi zaidi lakini Ndanda wakiwa nyumbani…