JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

USITISHAJI MICHANGO MASHULE ‘WAITIKISA’ DODOMA

NA EDITHA MAJURA Dodoma Agizo la Rais John Magufuli kuzuia wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na Serikali wasitozwe michango, limeibua changamoto katika uendeshaji wa shule hizo mkoani hapa, imebainika. JAMHURI limebaini hayo baada ya…

JAJI ROBERT KISANGA: NYOTA YA HAKI SAWA ILIYOZIMIKA

Mashaka Mgeta Alikuwa gwiji wa haki za binadamu, mwelekezi wa misingi ya utawala bora, mtetezi wa uhuru wa mihimili ya dola na mpigania haki za watu wanaoonewa; Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Robert Kisanga, amefariki dunia. Januari 23, mwaka…

ANGELA MERKEL AANZA KUUNDA SERIKALI

NA MTANDAO Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, amesema anakamilisha utaratibu wa kuangalia namna ya kuunda serikali ya mseto kwa kushirikiana na viongozi wa vyama vya Social Democratic na SPD. Amesema wanatarajia kwenda mbele katika jitihada zao za kuunda serikali na ndiyo…

MAFANIKIO YANA SABABU YOYOTE (7)

Na Padre Dkt. Faustin Kamugisha Mtazamo chanya ni sababu ya mafanikio. Mtazamo chanya unakufanya uyaone matatizo kuwa ni baraka katika sura ya balaa. Mtazamo chanya unakufanya kuhesabu siku zako kwa saa za furaha na si kwa saa za karaha. Mwenye…

TANZANIA NINAYOITAKA NA TANZANIA NISIYOITAKA

NA ANGALIENI MPENDU Binadamu anapokuwa na tabia ya kuaminika, anapenda haki na anafuata utaratibu mzuri wa kufanya kazi, anajijengea sifa ya uaminifu, uadilifu na nidhamu. Huyu ndiye binadamu ninayemfahamu na ninayemkubali kwa Tanzania niitakayo. Binadamu mwenye upungufu wa sifa hizi,…

BARABARA YA VUMBI MGODI WA NGAKA INAVYOATHIRI UCHUMI NA MAZINGIRA

Na Albano Midelo WAKAZI wa vijiji vya Kata ya Ruanda vilivyopo barabarani kutoka mgodi wa makaa ya mawe Ngaka Wilaya Mbinga Mkoa wa Ruvuma wanapata athari za kimazingira zinazosababishwa na uchimbaji wa madini hayo. Kwa mujibu wa sensa ya makazi…