JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Matengenezo mtambo wa Ruvu juu waanaza

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa maandalizi ya matengenezo ya dharura ili kuzuia uvujaji wa maji katika maungio ya bomba la inchi 40 na inchi 28 katika Mtambo wa Uzalishaji Maji wa…

Hofu ya Jaji Warioba, wananchi kujihami

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu (mstaafu), Jaji Joseph Sinde Warioba, alizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa na kusisitiza kuwa mwenendo wa uchaguzi unavyokwenda na kwa jinsi watu wanavyoonyesha…

Israel yathibitisha mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Syria

Israel imethibitisha kufanya mashambulizi dhidi ya meli za kivita za Syria, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake za kuondosha mali za kijeshi nchini humo baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad. Katika taarifa yake jeshi la ulinzi la Israel (IDF)…

Jeshi la Polisi Dodoma lawashika mkono wenye mahitaji maalumu

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kwa Kishirikiana na Kundi la Wanawake na Samia na wadau wengine wa maendeleo Wametoa Mkono wa Sadaka kwa Wenye uhitaji katika Kituo cha Upendo kilichopo Miyuji ikiwa ni ishara ya…