Latest Posts
JPM AMWONDOA MWENYEKITI BODI YA WAKURUGENZI WA SUMATRA
Rais Dkt. John Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Mhandisi Dkt. John Ndunguru na kuivunja bodi hiyo kuanzia leo Septemba 24, 2018. Rais Magufuli amechukua…
TEF watuma salamu za rambirambi, yataka elimu ya majanga iongezwe
Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limetoa salamu za pole kwa Rais John Magufuli, familia, ndugu, jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere. Salamu hizo zimetolewa leo Septemba 23,2018 na Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa hilo,…
Huyu ndio Messi Ndani ya Maisha yake ya Soka
Mashabiki wa soka duniani walisherehekea mwezi huu wa Septemba, mwaka huu miaka 18 ya kung’ara kwa miongoni mwa mastraika hatari duniani, Lionel Messi, ambaye jina la utani ni `La Pulga’. Messi alitinga kwenye medani ya soka Septemba 17, mwaka 2000,…
Nikki Haley ajibu tuhuma za Iran, kuwa Marekani ilihusika na shambulio
Balozi wa Marekani umoja wa mataifa ameitaka Iran ijiangalie yenyewe katika shambulio la la kijeshi lililoua watu 25 siku ya Jumamosi. Balozi huyo Nikki Haley amejibu tuhuma za rais wa Iran, anayeilaumu Marekani kwa kuhusika na shambulio hilo na kusema…
Tanzania yaadhimisha miaka 51 ya madini ya Tanzanite
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeadhimisha miaka 51 tangu kuvumbuliwa kwa madini ya kipekee ulimwenguni, Tanzanite. Maadhimisho hayo yalidogoshwa kutokana na Taifa la Tanzania kuwa katika maombolezo kwa siku tatu mfululizo kufuatia ajali ya kivuko cha Mv Nyerere Alhamisi wiki…