JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

MANCHESETER UNITED YACHEZEA KICHAPO MBELE YA SANCHEZ

Wachezaji wa Tottenham wakishangilia baada ya kushinda.   Kocha wa Tottenham, Mauricio Pochettino amewasifu wachezaji  kwa kuanza mechi kwa moto mkali baada ya Christian Eriksen kufunga bao sekunde 11 pekee baada ya mechi kuanza, na kufanikiwa kulaza Manchester United 2-0…

ANGALIA JINSI CHELSEA WALIVYOPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA BOURNEMOUTH

Mabingwa watetezi Chelsea wamefungwa bao 3-0 na Bournemouth nyumbani, ushindi ambao Kocha wa Bournemouth, Eddie Howe amesema kuwa matokeo hayo ni bora zaidi kwao Ligi ya Kuu. Mabao ya Bournemouth yalifungwa na Callum Wilson, Junior Stanislas na Nathan Ake yaliwahakikishia ushindi…

Balozi wa Ujerumani Tanzania ashiriki maadhimisho ya wahanga utawala wa Hitler

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Dk. Detlef Waechter akizungumza na wanafunzi walioshiriki maadhimisho ya kumbukumbu ya wahanga waliopoteza maisha katika vita vya moto vilivyotokea mwaka 1933 hadi 1945 chini ya utawala wa kidikteta wa Adolf Hitler nchini Ujerumani. Ofisa Habari…

TANZIA: Mwanamuziki Mowzey Radio Afariki Dunia

Mwanamuziki wa Uganda, Moses Ssekibogo ‘Mowzey Radio’ enzi za uhai wake. MWANAMUZIKI nyota nchini Uganda, Moses Ssekibogo maarufu kama Mowzery Radio, amefariki. Habari zilizothibitishwa na familia yake na mmoja wa mameneja wake aitwaye Balaam Barugahare, kwa vyombo vya habari, zinazema…

MKUTANO WA WAZIRI MAHIGA NA MWENYEJI WAKE WAZIRI KYUNG-HWA WA JAMHURI YA KOREA KUSINI

 Mheshimiwa Augustine Phillip Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akilakiwa na mwenyeji wake Mheshimiwa Kang Kyung-hwa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Korea, mara baada ya kuwasili ofisini kwake kwa mazungumzo ya kikazi…