JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Lugola fika Zanzibar majipu ni mengi hayana mtumbuaji

Mhariri, kwanza nakupongeza kwa uzalendo wa kuichapa barua hii. Sababu kubwa ya kuandika andiko hili ni kumuomba Mheshimiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, afike huku kwetu Zanzibar kujionea makosa ya barabarani yanayofanywa kwa makusudi bila kuchukuliwa…

Mafanikio, changamoto Chuo Kikuu Huria

Mafanikio, changamoto Chuo Kikuu Huria Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda, amezungumza na Gazeti la JAMHURI kuhusu historia, mafanikio, changamoto na hatima ya chuo hicho. Mwandishi MANYERERE JACKTON, aliyezungumza naye, analeta maelezo ya Profesa…

Mafanikio yoyote yana sababu (39)

Na Pd. Dk. Faustin Kamugisha Kwenda maili moja zaidi ni sababu ya mafanikio. Kufanya jambo zaidi ni sababu ya mafanikio. “Hakuna msongamano wa magari kwenye maili moja zaidi,” alisema Zig Ziglar. Maili moja zaidi haina umati wa watu. Maana yake…

Shairi: Msiba wa Taifa

1: Sioni pa kuanzia, Kueleza taarifa, Nchi yetu Tanzania, Imekumbwa na maafa, Taifa zima twalia, Ni msiba wa taifa, Watu mia na zaidi, Leo tumewapoteza. 2: Raia kwa wanafunzi, Na wazazi kwa watoto, Wametujaza simanzi, Na mili kuwa mizito, Mili…

Ajali ya mv Nyerere: tutajifunza lini?

Jambo ambalo si rahisi kuacha kulitaja ni hali duni ya usalama inayowakabili watumiaji wa vyombo vya usafirishaji kutokana na kujirudia kwa ajali mbalimbali. Watanzania tumo kwenye maombolezo ya vifo na hasara iliyotokana na ajali ya hivi karibuni ya mv Nyerere,…

Man City yachekelea faida

Manchester, Uingereza Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza, Klabu ya Manchester City, wametangaza kupata faida ya kiasi cha pauni milioni 500.5 sawa na Sh bilioni 1.5 kwa msimu wa 2017/18 na kuvunja rekodi ya mapato tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo…