JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mafanikio yoyote yana sababu (20)

Mafanikio yoyote yana sababu (20) Padre Dk Faustin Kamugisha Kutenda au kuchukua hatua ni siri ya mafanikio.  Ahadi ni wingu, kutenda ni mvua. Ni methali ya Kiarabu. “Kutenda ni ufunguo wa msingi wa mafanikio yote,” alisema Pablo Picasso (1881-1973), mwandishi wa…

Sokous Stars inavyochachafya

NA MOSHY KIYUNGI Tabora Kundi la wanamuziki wa Soukous Stars limekuwa likifanya vyema pindi wanapopata mchongo popote pale Duniani. Hawa ni wanamuzikia raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, huishi katika nchi tofauti duniani, kila mmoja huko aliko anayo shughuli…

MFAHAMU MMILIKI HALISI WA KINYWAJI CHA ALIKIBA

Siku ya juzi jumapili April 29, 2018 msanii Alikiba katika sherehe ya harusi yake iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, alizindua kinywaji chake kipya kinachojulikana kama Alikiba Mofaya. Kinywaji hicho ambacho hakina kilevi na chenye kuongeza nguvu…

Bandari ya Tanga fursa muhimu kwa uchumi wa Tanzania

Katika toleo la wiki iliyopita tuliwaletea makala iliyohusu bandari ya Mtwara kwa jinsi ilivyobeba fursa ya viwanda kwa ukanda wa kusini mwa Tanzania na taifa kwa jumla. Pia bandari ya Mtwara inatarajiwa kuwa tegemeo kwa nchi jirani hasa baada ya…

Timu za vijana zaibeba Afrika

NA MICHAEL SARUNGI Kufanya vyema kwa timu za taifa za vijana chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes, na ile ya chini ya miaka 17 Serengeti Boys katika michezo yao ni mwendelezo wa matokeo mazuri kwa timu za taifa za vijana…

Hatimae historia yaandikwa

Kim Jong-un amekuwa kiongozi wa kwanza kutoka Korea kaskazini kuingi Korea kusini tangu kumalizika kwa vita vya Korea mwaka 1953 na kuandika historia mpya baina ya mataifa hayo mawili. Kim katika mkutano huo aliandamana na maafisa tisa , ikiwemo dadake…