JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne Februari 6, 2018

Kama upo mbali na meza za magazeti mtaani kwako basi husipitwe na kilichoandikwa kwenye magazeti ya leo Jumanne Februari,6, 2018 nimekuekea hapa BOFYA HAPA KUSOMA GAZETI LOTE LA JAMHURI  LA WIKI HII TAREHE 06- 12/FEBRUAR 2018

MANGE KIMAMBI AMCHEFUA SHEKHE MKUU WA DAR ES SALAAM, SASA KUKIONA CHA MOTO

SHEHE  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa amemuonya mwanaharakati maarufu, Mange Kimambi kwa madai kuwa amemporomoshea matusi mazito baada ya kumuona mtandaoni amepiga picha na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi…

Dada wa Mowzey Radio Akamatwa na Polisi Uganda

  Polisi nchini Uganda wamemkamata mtuhumiwa anayehusishwa na mauaji ya mwanamuziki maarufu Mowzey Radio, aliyefariki kutokana majeraha aliyoyapata baada ya mzozo uliotokea kwenye kilabu moja ya usiku ” De Bar”, iliyopo katika mji wa Entebbe. Wakati wa mazishi yake, mama…

VITUO VIWILI VYA TELEVISHENI YAREJEA HEWANI KENYA

Matangazo ya vituo viwili vya televesheni Kenya, KTN na NTV yamerejea hewani baada ya kufungiwa siku 7 na serikali. Lakini bado haviwezi kutazamwa na Wakenya wengi ambao hawana king’amuzi. Kupitia mtandao wao wa Twitter, NTV wamesema wamerudi hewani kwenye ving’amuzi…

Polisi watumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji Kenya

  Polisi nchini Kenya wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wakijaribu kuishinikiza serikali kuvifungua vyombo vitatu vya habari nchini vilivyofungiwa kupeperusha matangazo. “Hii si mara ya kwanza tumiona serikali ya Jubilee ikiangamiza haki za waandishi wa wahabari. Tumeona…