Latest Posts
Bwana harusi acharuka
*Ni baada ya kugundua kuwa mkewe hajakeketwa *Amkeketa kwa nguvu ili akubalike kwenye familia *Dawati la Jinsia Mugumu lashindwa kutoa msaada Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Serengeti WAKATI jamii ikipambana kukomesha vitendo vya ukeketaji, hali ni tofauti ndani ya familia moja katika Kijiji…
Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati wataka kuunda kikosi mseto cha usalama mpakani
Itifaki hii ilianzishwa na mawaziri wa ulinzi wa nchi hizo mbili baada ya siku nne za tume ya pamoja mjini Bangui, kulingana na chanzo kimoja. Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati, ambazo zinatumia mpaka wa karibu kilomita 1,200, pia…
Kuelekea Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini 2024,
Tuzo ya usiku wa madini 202 yampa hamasa kuanzisha kampuni Kutoka kuuza maandazi hadi kumiliki leseni 95 za Madini ya Bati (Tin) Moja ya Dhahabu Na Wizara ya Madini Tuzo ya Mwanamke Bora katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 ilikwenda…
Injinia Hersi anyakua tuzo Afrika
Rais wa Timu ya mpira wa miguu, Young Africans SC na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango katika maendeleo ya mpira wa miguu Barani Afrika katika tuzo za Nigeria-France Sports…
Ujenzi bomba la mafuta ghafi la EACOP wafikia asilimia 43.5
📌 Kuwa na uwezo wa kusafirisha mapipa 216,000 kwa siku 📌 Ujenzi wa kiwanda cha kuweka mfumo wa joto kwenye mabomba wafikia 92% 📌 Vijiji 12,240 vyafikiwa na nishati ya umeme Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika…
Wadau wa kisekta watakiwa kukabiliana na athari za mvua za msimu 2024/25
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari amewataka wadau kutoka sekta mbalimbali kukabialiana na athari zitakazoweza kujitokeza pamoja na kuchukua hatua stahiki wakati wa mvua za msimu…