Latest Posts
Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo…
Vijana wahimizwa kujiwekea akiba kwa manufaa ya sasa na baadae
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam VIJANA nchini wamehimizwa kutumia vizuri vipato wanavyopata kujiwekea akiba ili kumudu maisha yao ya sasa na baadaye. Wito huo umetolewa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya…
Tanzania, Ethiopia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ethiopia zimesisitiza juu ya umuhimu wa kutumia fursa za ushirikiano zilizokubaliwa kati ya nchi hizo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kwa maendeleo endelevu ya watu wake…
Hatma ya Rwanda, DRC Congo bado haijulikani
Mazungumzo yaliyopangwa kufanyika Jumapili ya viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumaliza mzozo wa Mashariki mwa Congo yamefutwa baada ya majadiliano kukwama. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mpatanishi wa Umoja wa Afrika kwa ajili ya kumaliza…
Watoto wawili wa familia moja wauawa kwa kushambuliwa na fisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Watoto wawili wa familia moja wanaoishi Kijiji cha Dugushuli, Kata ya Igaga, Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga wamekufa huku sita wakijeruhiwa baada ya kushambuliwa na fisi. Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi alithibitisha kutokea…