JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

DONALD TRUMP: WALIMU WARUSIWE KWENDA NA BUNDUKI MASHULENI

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba kuwapatia walimu silaha kunaweza kuzuia mashambulio ya risasi katika shule kama lile lililowaua watu 17 wiki iliopita mjini Florida. ”Mwalimu mwenye bunduki anaweza kukabiliana na washambuliaji mara moja”, alisema. Bwana Trump alitoa pendekezo…

DE GEA AWANUSURU MANCHESTER UNITED KUPOKEA KIPIGO KUTOKA KWA SEVILLA

Mlindalango wa Manchester United David de Gea alifanya kazi ya ziada kuzuia makombora ya wapinzani wao Sevilla Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya mechi ya hatua ya 16 bora na kuwasaidia kutoka sare Jumatano. Kipa huyo Mhispania aliwazuia Joaquin Correa na…

TCD: TUNATAKA KUMWONA RAIS MAGUFULI ATUSAIDIE KUPATA KATIBA MPYA

Kongamano la viongozi wa siasa na viongozi wa dini lilikoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD), limemalizika leo jijini Dar es salaam, huku wajumbe wakipanga kwenda kumwona Rais John Magufuli wakiwa na pendekezo la kukamilishwa kwa mchakato wa Katiba. Akisoma mapendekezo…

JAJI MKUU : MAHAKIMU SIMAMIENI MABARAZA YA KATA

Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma akisalimiana na watumishi wa Mahakama ya wilaya ya Nzega alipowasili kukagua shughuli za Mahakama. Jaji Mkuu ameanza ziara ya kikazi katika mkoa wa Tabora na Kigoma ambayo ni Kanda ya Tabora Jajki…

Kujiuzulu Zuma: Watawala Afrika wasiwe ‘miungu watu’

NA MICHAEL SARUNGI Jacob Zuma, Rais mstaafu wa Afrika Kusini ameondoka madarakani baada ya kuwapo shinikizo kutoka ndani ya chama chake cha African National Union (ANC). Zuma amejizulu wadhifa huo Februari 14, mwaka huu, huku akikana kuhusika katika tuhuma mbalimbali…

Tusome ishara za nyakati (3)

Na Pd. Tunda la Kanisa (M.afr)   Wiki iliyopita mwandishi alizungumzia dhana ya kumtegemea Mungu katika kila uamuzi uufanyao kama binadamu. Je, leo unafahamu anazungumzia nini? Endelea… Katika somo la pili mtume Paulo anatuasa kuwa kila mtu afuate wito wake…