JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wachezaji walioitendea haki jezi namba 10

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Katika jambo la upigaji kura kutoka kwa mashabiki wote duniani lililofanywa na mtandao wa soka wa Sokaa Africa, Wayne Rooney aliibuka mshindi katika nafasi ya kwanza akiwa na kura 60 huku akifuatiwa na Ronaldinho…

Ndugu Rais siku ya kumuaga Akwilina ilikuwa nzito

Ndugu Rais, sijui niilaumu nafsi yangu au nimlaumu Mwenyezi Mungu aliyenifanya niishuhudie siku ya Alhamisi tarehe 22/2/2018 pale Chuo cha Usafirishaji, siku ambayo mwili wa Akwilina ulipokuwa unaagwa. Yaliyonigusa moyoni naapa hayatakuja kunitoka katika kifua changu siku zote zilizobakia katika…

Uchovu mara kwa mara – 2

Karibu tena msomaji wangu wa Safu hii ya Afya. Leo tutaendelea na mwendelezo wa mada yetu ya wiki iliyopita kama nilivokuahidi. Kwa kukukumbusha tu msomaji, wiki iliyopita nilieleza kuhusu sababu zilizo nyuma ya uchovu uliokithiri. Uchovu ambao mara nyingi huwa…

TFF itumie vyema fursa ya FIFA

DAR ES SALAAM NA MICHAEL SARUNGI Ujio wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino, hapa nchini unaweza kuwa na matokeo mazuri katika soka la nchi hii endapo viongozi watakuwa na utashi wa kutenda. Wakizungumza na…

Mapitio ya sheria za kazi nchini Tanzania

Na Wakili Stephen Malosha Asiyefanya kazi na asile. Hayo ni maneno maarufu sana katika utawala huu wa awamu ya tano. Maneno haya yamekuwa yakitamkwa mara kwa mara na Rais John Magufuli katika kuhimiza Watanzania wafanye kazi. Hii inaonesha kwa namna…

TPA inathamini mizigo ya wateja

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya mambo mengi katika utoaji huduma bora kwa wateja wake. Ili kuhakikisha TPA inawahudumia wateja wake vizuri iliamua kuwa na Mkataba wa Huduma kwa Mteja, kuanzisha Kituo cha Huduma kwa Wateja na kufungua…