JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni

Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza kwenye hafla  ya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Wilaya ya Kigamboni….

TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAINYOSHEA KIDOLE CCM

Ripoti ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) imekikosoa vikali Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kutumia mtoto wakati wa kampeni za ubunge Jimbo la Kinondoni, pia matumizi ya rasilimali za umma (magari) katika kampeni za Siha.

RUFAA YA SUGU YAFIKA MAHAKAMA KUU MBEYA

Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha miezi mitano jela iliyotolewa kwa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga imewasilisha Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya. Mmoja wa mawakili…

SHILOLE AHUKUMIWA KULIPA MILIONI 14 NDANI YA WIKI MOJA

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amehukumiwa kulipa faini ya Tsh. Milioni 14 na mahakama ya Mwanzo Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam baada ya kupatikana na hatia ya utapeli kusababisha hasara kwa kushindwa kufika kwenye shoo. Katika…

WIMBO WA “KIBA_100” WA ROMA WAMUINGIZA KITANZINI,

Serikali kupitia Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni imemfungia msanii, Abednego Damian maarufu Roma Mkatoliki kutojihusisha na shughuli zozote za muziki kwa kipindi cha miezi sita kutokana na kukaidi kufanyia marekebisho wimbo wake wa ‘Kibamia’. “Huyu ndugu anayeitwa Roma Mkatoliki…