Latest Posts
Serikali haitafuta tozo daraja la Kigamboni
Serikali imesema kuwa haitafuta tozo inayotozwa katika daraja la Kigamboni kwa kuwa fedha hizo zinatumika kulipa sehemu ya deni la mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Juni 22,2018 na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,…
APR ya Rwanda Yaomba Kubadiishiwa Ratiba Mashindano ya Kagame CUP
Baada ya kuthibitisha rasmi kuwa watashiriki michuano ya KAGAME CUP inayotaraji kuanza Juni 28 2018, uongozi wa klabu ya APR umeomba kubalidishwa ratiba. Hatua hii imekuja mara baada ya CECAFA kuwapangia APR kucheza na Singida United Juni 29 itakayokuwa Ijumaa…
Hatima ya Nigeria Kuvuka Hatua ya Makundi Kujulikana Leo Dhidi ya Iceland
Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea kushika kasi tena ambapo Afrika itakuwa inawakilishwa na Nigeria itakayokuwa kibaruani dhidi ya Iceland. Matumaini pekee ya Nigeria kuendelea kusalia kwenye michuano hiyo yataonekana leo endapo itaibuka na ushindi wa mabao mengi…
Kimahesabu Argentina Ishatoka kwenye Hatua ya Makundi Kombe la Dunia
Kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kimeshindwa kutamba mbele ya Croatia baada ya kukumbana na kichapo cha mabao 3-0. Mabao ya mchezo huo wa kundi D yaliwekwa kimiani na Luca Modric, Ivan Rakitic na Ante Rebic. Kufuatia kichapo hicho…
EU yaongeza ushuru kwa bidhaa kutoka Marekani
Jumuiya ya Ulaya EU imeanzisha ongezeko jipya la tozo kwa bidha zinazotoka Marekani kama hatua ya kulipa kisasi dhidi ya sera ya kibiashara ya Rais Trump iliyotangaza ongezeko tozo ya uingizwaji wa bidhaa za chuma na bati nchini humo. Ongezeko…
Magazetini leo Ijumaa, 22, June, 2018
Maagizo 10 aliyotoa Rais Magufuli akipokea BILIONI 1.5