JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mapambano dhidi ya rushwa si ya TAKUKURU pekee – Majaliwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa mapambano dhidi ya rushwa si jukumu la TAKUKURU pekee bali kila Mtanzania anapaswa kushiriki kikamilifu kusimamia maadili na kupinga vitendo vya rushwa. Amesema kuwa rushwa inaweza kusababisha kutofikiwa kwa jukumu la Serikali la kuleta…

Vivuko Mafia wakwama siku 18 sasa, Serikali kuunda timu ili kupata suluhu ya kudumu

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi, Wizara ya Uchukuzi na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa itaunda Timu Maalum itakayoshughulikia kupata suluhu ya kudumu ya vivuko vya TNS Songosongo na Mv Kilindoni ambavyo havifanyikazi…

Benki Kuu yaondoa shilingi ya zamani ya Kitanzania katika mzunguko

Marejeleo ya Tangazo la Serikali namba 857 na 858 lililochapishwa tarehe 11/10/2024 likiwasilisha wito wa kuingia, kuweka au kubadilisha fedha, na kusitishwa kwa noti za zamani katika madhehebu ya ishirini, mia mbili, mia tano, elfu moja, elfu mbili. , shilingi…

Taasisi za umma zatakiwa kutumia mifumo rasmi ya Serikali mtandao

NA Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar pamoja na Watendaji wa Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ), wametembelea Makao Makuu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mtumba jijini…

Tunaimarisha mazingira ya uwekezaji na miundombinu ya nishati – Dk Mataragio

Asisitiza nia ya Serikali ni kutoa huduma stahiki bila kuangalia umbali au kipato 📌 Apongeza kampuni ya Puma Energy Tanzania kushirikiana na Serikali uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia 📌 Puma Energy Tanzania yaahidi kuendeleza ushirikiano Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya…

Waziri wa Nishari Zanzibar aipa kongole Rea

📌AISISITIZA KUENDELEA NA UHAMASISHAJI 📌REA YAELEZEA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA NA USAMBAZAJI WA UMEME VIJIJINI Waziri wa Maji, Nishati na Madini, Shaib Kaduara ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kuendelea kuhakikisha huduma za Nishati zinafika…