JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndani ya Wapinzani yamo yenye manufaa

Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata mfumo wa siasa wa vyama vingi. Tangu kurejeshwa kwa mfumo huo mwaka 1992, yamekuwapo manufaa mengi. Tutakuwa watu wa ajabu endapo tutabeza kazi nzuri na ya kutukuka iliyofanywa na baadhi ya wapinzani makini katika…

Mfumo dume chanzo cha ukeketaji Ngorongoro

Watoto wa kike wanalazimishwa kuolewa Sheria za kimila zinawabeba wanaume   NGORONGORO NA ALEX KAZENGA Kukosekana kwa usawa wa kijinsia katika jamii ya Kimaasai kunachochea ukeketaji watoto wa kike katika jamii hiyo wilayani Ngorongoro, Arusha. Chanzo cha kuota mizizi kwa…

Mniruhusu nimseme Mchechu akingali hai

Wiki hii nilikusudia kuandika makala fupi kueleza yale niliyoyaona kwa majirani zetu wa Mashariki na Kusini mwa Afrika. Kama ilivyo ada ya mtembezi, yapo mabaya, lakini yapo mazuri pia anayoyaona awapo matembezini. Naomba kazi hiyo niifanye kwenye matoleo yajayo. Nimeguswa…

Bajeti yetu, kilimo na viwanda

Na Deodatus Balile, Abuja, Nigeria Wiki hii nimekuwa hapa jijini Abuja, Nigeria. Nimepata fursa ya kukutana na Rais Mohamed Buhari wa Nigeria. Nimekutana na mawaziri wa Habari, Fedha, Viwanda na Biashara. Kukutana kwetu kumekuwa kama zari. Kilichonileta hapa Nigeria ni…

Kasoro uhawilishaji mashamba Kusini

SONGEA NA MUNIR SHEMWETA   Uwekezaji ni jambo muhimu hasa katika kipindi hiki cha Serikali ya Awamu ya Tano ambayo msisitizo wake mkubwa ni Serikali ya Viwanda na kuelekea katika uchumi wa kati.   Hali hiyo inatokana na uwekezaji kuwa…

Kauli ya TCRA Zanzibar Kuhusu Usajili wa Blog

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, TCRA, kanda ya Zanzibar, imewatoa wasiwasi wamiliki wa tovuti, blogi, redio na televisheni za mtandaoni, kuwa usajili utashughulikiwa na Tume ya Utangazaji Zanzibar na sio TCRA. Hayo yanakuja kufuatia tangaazo la hivi karibuni la TCRA, la…