JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri akanusha ripoti kuwa Kenya haina fedha

Waziri wa Fedha Kenya Henry Rotich amesema Alhamisi kuwa ripoti zinazodai kuwa serikali ya nchi hiyo haina fedha ni “habari feki” na kuwa serikali kawaida haziwezi kukosa fedha. Ameongeza kuwa shilingi bilioni 200 zilizotolewa hivi karibuni na Eurobond zitaweza kukidhi…

Matokeo ya Mechi Zote za Europa Leage Hatua ya 16 Bora Haya Hapa

Hatua ya 16 bora ya michuano ya UEFA Europa League ilichezwa usiku wa March 8 2018 kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya, hizi ni game za kwanza ambazo zimechezwa leo baada ya game za marudiano ndio tutajua timu gani zimeingia…

Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Mh. Ummy Mwalimu ametoa miezi mitatu kwa wakurugenzi wote nchini kuhakikisha wanatenga asilimia 4 za fedha za halmashauri kwaajili ya kuwapa wanawake mikopo ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuunga…

ARSENAL YAITANDIKA AC MILAN 2-0 UGENINI

Arsenal jana usiku imeifunga Ac Millan  mabao 2-0 kwenye mashindano ya kombe la Euopa Leaue hatua ya 16 bora ugenini kwenye Uwanja wa Giuseppe Meazza Mjini Milani. Mabao ya Arsenal yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan kwenye dakika ya 15 na bao…

Trump akubali Kukutana na Kim Jong

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu…

HDIF YAWAWEZESHA WANAWAKE TANZANIA KATIKA NYANJA YA UBUNIFU

 Naibu Kiongozi  Mfuko wa  ubunifu wa Maendeleo ya watu kutoka nchini Uingereza (HDIF), Joseph Manirakiza akizungumza juu ya  kongamano hilo ili kutoa fursa kwa watu kujifunza namna wanawake wamefanikiwa katika masuala ya ubunifu na kuleta maendeleo katika jamii inayoiwazunguka.  Naibu Katibu…