JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Dalili zinazoashiria tatizo kwenye afya yako

Watu wengi wamekuwa na tabia ya kupuuzia baadhi ya dalili ndogo zinazojitokeza kwenye afya zao pasipo kujua chanzo hasa cha dalili hizo. Ifahamike kuwa tabia hii ni hatari sana kwa sababu matatizo yote makubwa ya kiafya huwa yanaanza na dalili…

Nyamo-Hanga ang’olewa REA

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, ameondolewa kwenye nafasi hiyo, JAMHURI limethibitishiwa. Desemba 17, 2016 Bodi ya Wakurugenzi ya REA ilimteua Mhandisi Nyamo-Hanga, kushika wadhifa huo. Pamoja naye, kumekuwapo…

Ajira za upendeleo TFF

NA MICHAEL SARUNGI Uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) umeingia katika tuhuma za kutoa ajira kwa baadhi ya wafanyakazi wake bila kufuata kanuni na taratibu za ajira. Tuhuma hizo zimetolewa wakati Shirikisho likiwa katika mgogoro na aliyekuwa…

Kuna dalili muhogo unalimika

Na Deodatus Balile, Beijing, China Naandika makala hii wakati naanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuwa hapa nchini China kwa muda wa wiki mbili hivi. Nimetembelea vyuo vikuu viwili, miji minane na maonyesho ya zana za kilimo. Ziara hii…

MSIBA WA TAIFA

Uongozi wa Gazeti la JAMHURI unaungana na ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania kwenye maombolezo ya wananchi wenzetu 26 waliofariki dunia kwenye ajali iliyohusisha basi dogo (Hiace) na lori iliyotokea Mkuranga mkoani Pwani. Tunawapa pole majeruhi (tisa) waliolazwa katika Hospitali ya…

WAKILI ALIYEMUAPISHA RAILA ODINGA AZUHIRIWA UWANJA WA NDEGE

Wakili wa upinzani aliyeidhinisha kiapo cha Bw Raila Odinga alipokuwa anajiapisha kuwa ‘Rais wa Wananchi’ mwezi Januari bado amekwama katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Bw Miguna Miguna alijaribu kurejea Kenya Jumatatu lakini akazuiwa kuingia baada yake kudaiwa…