JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

UKIPOTEZA MUDA, MUDA UTAKUPOTEZA ZAIDI

“Ukitaka kujua umuhimu wa mwaka mmoja muulize mwanafunzi ambaye amerudia darasa. Ukitaka kujua umuhimu wa mwezi mmoja muulize mwanamke ambaye amejifungua mtoto kabla ya mwezi mmoja. Ukitaka kujua umuhimu wa juma moja muulize mhariri wa gazeti linalotoka kila wiki. Ukitaka…

Trump apongeza mazungumzo kati ya rais Xi na Kim

Rais wa Marekani Donald Trump amesema leo kuwa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yuko tayari kukutana naye. Kauli hiyo inaashiria kuwa mkutano wa kihistoria unaopangwa kati yake na kiongozi huyo anayetengwa wa nchi ya bara Asia utaendelea. Kupitia…

Madereva wa Daladala Mwanza Wagoma Kutoa Huduma ya Usafiri

Mwanza Madereva wa Daladala wanaofanya safari zao Airpot Nyashishi na Kisesa Nyashishi wilayani Misungwi wamelazimika kugoma baada ya Sumatra kuongeza ruti bila kuongeza nauli. Madereva hao wamelalamikia kitendo hicho kwakuwa ruti iliyopangwa sumatra haijatoa bei elekezi nauli itakuwa sh Ngapi,…

Miguna Atimuliwa Kenya, Apelekwa Dubai kwa Lazima

Mwanasiasa wa upinzani Kenya aliyeidhinisha kiapo cha kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa ‘Rais wa Wananchi’ Januari Miguna Miguna ametimuliwa tena kutoka nchini humo. Mwanasiasa huyo ametimuliwa huku mzozo kuhusu uraia wake ukiendelea. Bw Miguna ameandika kwenye Facebook kwamba ameamka…

AGPAHI YAKABIDHI MASHINE ZA KUCHUNGUZA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI,KOMPYUTA MKOA WA MWANZA

Shirika la Ariel Glaser Pediatric AIDS Healthcare Initiative (AGPAHI) limekabidhi mashine tano za kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake ‘cryotherapy machines’ mkoa wa Mwanza.    Msaada huo umetolewa Jumanne Machi 27,2018 katika ukumbi wa mikutano wa Gold Crest…