JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Maelfu wamzika Allen Mbeya

Na Thompson Mpanji, Mbeya MAELFU ya Wakazi wa Jiji la Mbeya wamejitokeza kumzika Shemasi wa Kanisa la EAGT, Kisima cha Bubujiko lililopo Mtaa wa Iyela II, Uwanja wa Ndege wa Zamani, jijini Mbeya, Allen Achiles Mapunda (20), aliyefariki Machi 25, mwaka…

Rais, wadau saidieni wanafunzi Butiama

Si jambo jema sana kutumia safu hii kueleza shida ninazoguswa nazo moja kwa moja. Si vizuri kwa sababu naweza kuonekana najipendelea. Hata hivyo, nitakuwa sina msaada endapo nitashindwa kutumia fursa hii kufikisha sauti ya ‘wasio na sauti’ kwa nia njema…

Kamwe tusiruhusu kuvuruga umoja wetu

Matamko ya hivi karibuni ya viongozi wa dini kwa upande mmoja; na wanasiasa na Serikali kwa upande mwingine, yameibua fikra, ishara na tafsiri tofauti kwenye jamii. Viongozi wa dini wametoa matamko yenye ishara ya kutoridhishwa na mfululizo wa matukio nchini,…

Ujenzi wa viwanda, muhogo Na Deodatus Balile

Wiki iliyopita niliahidi kuanza kuandika masuala ya msingi katika kilimo cha muhogo. Nimepata simu nyingi kutoka kwa watu mbalimbali wakisema wanataka kulima muhogo, wengine tayari wanao muhogo na wengine wana mashamba au wengine wanatafuta mashamba ya kulima muhogo. Wengine wamepata…