JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUMSIMIKA MHASHAMU ISAAC AMANI KUWA ASKOFU MKUU JIMBO KUU KATOLIKI LA ARUSHA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Askofu Msaidizi Prosper Lyimo  alipowasili kushiriki Ibada ya Kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo la Katoliki  Arusha katika Kanisa la Mtakatifu Theresia la Mtoto Yesu…

FEDHA ZA UPANUZI WA VITUO VYA AFYA ZIFANYE ZAIDI YA KAZI ILIYOTARAJIWA- RC GALLAWA

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Gallawa akizungumza na mafundi wanaojenga katika kituo cha Afya Isansa Wilaya ya Mbozi, kituo hicho cha Afya kimepokea shilingi milioni 500 kwa ajili ya upanuzi wa kituo hicho. Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku…

WATUMISHI WA SEKTA YA UJENZI WATAKIWA KUJITATHIMINI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Sekta ya Ujenzi (hawapo pichani), wakati wa ufunguzi wa baraza hilo lililofanyika mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi ambaye ni Katibu Mkuu…

BREAKING NEWS: Nondo Anazungumza Muda Huu na Waandishi

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP) ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Abdul Nondo, amezungumza kwa mara ya kwanza na waandishi wa habari baada ya kuachiwa huru katika mahakama ya Iringa hapo jana. Katika…

Rufani ya Michael Richard Wabura Bado Kitendawili

Rufani ya Michael Richard Wambura bado kitendawili na hili ni baada ya kamati ya rufaa kuchelewa kutoa maamuzi. Je ni sahihi maamuzi kuchelewa ili haki itendeke au si sahihi kwa kuwa kamati hii imepokea taarifa ya pande zote mbili? Hebu…