JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Diamond Ampa Hongera AliKiba

Mwanamuziki Naseeb Abdul, maarufu Diamond Platnumz amemtumia salamu za pongezi mwanamuziki mwenzake, Ali Saleh Kiba maarufu Alikiba kufuatia kufunga ndoa leo Aprili 19. Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa anampongeza King Kiba kwa kuoa na kumtakia maisha mema ya…

CAG Aelezea Wapi trilioni 1.5 Huwenda Zimetumika

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Prof. Assad amesema kwamba anaamini kwamba fedha shilingi trilioni 1.5 ambazo hazina maelezo namna zilivyotumika zitakuwa zilitumika katika maeneo mengine ya matumizi ya serikali. Prof. Assad amesema hayo alipokuwa akifanya mahojiano na…

Diamond, Nandy Bado hakijaeleweka

Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz jana amewasili katika ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa ajili ya mahojiano kutokana na tuhuma za kusambaza katika mitandao ya kijamii video isiyokuwa na maadili. Msanii huyo anatuhumiwa kusambaza video inayomuonyesha akiwa…

MSIINGIZE SIASA SUALA LA MABONDENI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa wajiepushe na tabia ya kuingiza siasa katika suala la kuwaondoa wananchi waishio mabondeniĀ  kwa kuwa jambo hilo linafanywa kwa maslahi ya wananchi wenyewe.   Amesema wananchi wengi wamekuwa wakipoteza maisha na mali zao kila…

UKAGUZI BANDARINI HAULENGI KUWABAGUA WAZANZIBARI – WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ukaguzi unaofanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa wasafiri wanaokwenda Zanzibar, hauna lengo la kuwabagua bali ni kuimarisha ulinzi wa mipaka ya nchi.   ā€œHatulengi kuzuia biashara za wafanyabiashara ndogondogo, bali tunaimarisha ukaguzi ili…