JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya Hizi Hapa

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2018/19 ikilinganishwa na mwana 2017/18 kunatokana na dhamira ya serikali kutekeleza bajeti hiyo kwa kutumia fedha za ndani…

MOHAMED SALAH MCHEZAJI BORA WA MSIMU 2018/17 LIGI YA UINGEREZA

Nyota wa Liverpool, Mmisri, Mohamed Salah ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Mwanasoka bora wa England kwa msimu wa 2017/18. Tuzo hiyo maarufu kama ‘PFA Player of the Year’ ameitwaa Salah kutokana na kuonesha kiwango kizuri msimu huu ambapo amefunga…

NENDA NENDA SWAIBA, WEWE MBELE SISI NYUMA, JEBBY AFARIKI DUNIA

Msanii Jebby amefariki dunia leo akiwa nyumbani kwao Dodoma. Imeelezwa kwamba siku kadhaa zilizopita Jebby aliomba kurudi kwa Dodoma baada ya hali yake kuwa mbaya. Taarifa za awali zinasema alikuwa anasumbuliwa na uvimbe kwenye bandama.

Rais Dkt Magufuli afanya uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TPB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Edmund Bernard Mndolwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB). Uteuzi wa Dkt. Mndolwa umeanza leo tarehe 23 Aprili, 2018. Dkt….

KUNDI LA YANGA KOMBE LA CAF NI LA VIBONDE TUPU

Kufuatia droo ya timu zitakazokutana katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kufanyika jana, uongozi Yanga wafurahia kupangwa na timu za ukanda wa Afrika Mashariki. Ukiachana na USM Alger inayotokea Algeria, Yanga imepangwa na timu za Rayon Sports…