JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wakenya kukusanya ada ya maegesho Dar

URI limethibitishiwa. KAPS ilizishinda kampuni kadhaa za Kitanzania zilizoshiriki kuwania zabuni hiyo ambayo uamuzi wake ulitangazwa Septemba 13, mwaka huu. Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Sipora Liana, tayari ameiandikia KAPS Ltd barua ya kuwataarifu ushindi wao kwenye zabuni…

Rais Tserese Khama Ian Khama nguzo ya mafanikio ya Botswana

Na Mkinga Mkinga Aliyekuwa Gaborone, Botswana. Kusini mwa jangwa la Sahara, pamezoeleka kuwa na majangwa kadhaa, ukienda nchini Namibia, utakutana na jangwa la Namib ambalo linakwenda kuungana na jangwa jingine la Kalahari, lililoko nchini Botswana. Nimepata fursa ya ‘kupita’ Botswana…

Serikali idhibiti ukuaji deni la Taifa

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad imeangazia mapungufu kadhaa ikiwamo kupanda kwa deni la Taifa. Profesa Assad amewasilisha ripoti hiyo bungeni na kuitolea ufafanuzi kwa umma, kupitia mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika…

Kuna uwiano wa msamiati na maadili ya mtu?

Nilisoma, hivi karibuni, makala inayotoa matokeo ya taarifa ya kitafiti juu ya uwiano uliyopo kati ya msamiati wa mtu na uwezo wake wa kumudu somo la hisabati. Matokeo yanaonyesha kuwa msamiati mzuri unaongeza uwezo wa kumudu somo la hisabati. Tafiti…

Ndugu Rais Mungu atuepushe na Tanzania mpya

Ndugu Rais mara nyingi katika maandiko yangu hunukuu maandiko yaliyoandikwa katika kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu. Sababu kubwa ni kwamba sitaki wengine wafikiri ninaandika haya kwa kumlenga mtu au kwa kuilenga mamlaka yoyote. Wanaofikiri hivyo wamekosea sana! Lengo la…

Serikali Yaelezea Kuhusu wamiliki wa vibanda vinavyoonesha filamu

Wadau wa sekta ya Filamu nchini wameiomba bodi ya filamu kuona umuhimu wa kuongezea makali ya kikanuni katika kusimamia vibanda vinavyoonesha sinema nchini kwa kuzifanya kanuni maalumu za kusimamia vibanda vya sinema kuzingatia kumuwajibisha mmiliki wa eneo au kibanda husika…