JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwakinyo atamba kumpasua ‘Kiduku’

Bondia Hassan Mwakinyo ametangaza ujio wa pambano lake Novemba 16, mwaka huu la kutetea mkanda wa Afrika wa WBO huku akitamba kuwa yuko tayari kumlaza mtoto wa mtu chini. Mwakinyo licha ya kutangaza ujio huo hajaweka hadharani mpinzani wake lakini akionekana…

JK aendeleza juhudi kukuza sekta ya maji barani Afrika

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete ameshiriki Mkutano wa Bodi wa Taasisi ya Kimataifa inayojishughulisha na Masuala ya Maji Barani Afrika (Global Water Partnership – Southern Africa and Africa Coordination Unit – GWPSA – Africa) uliofanyika tarehe 29 Oktoba, 2024, jijini…

Rais Samia kuhudhuria mjadala Marekani

Rais Dk Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini leo Oktoba 29 kuelekea Des Moines, lowa, nchini Marekani kuhudhuria Mjadala wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug ulioandaliwa na Taasisi ya Worl Prize Foundation ya nchi hiyo. Mjadala huo hufanyika kila mwaka na…

Mradi wa bilioni 60/-kuleta mapinduzi ya huduma za usafiri Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu, Mwanza Serikali ya Tanzania imewekeza Sh60 bilioni kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa Victoria, Erasto Lugenge aliwaambia wandishi wa habari waliotembelea bandari za Bukoba na Kemondo kuwa uwekezaji huu mkubwa katika…

Serikali kuthamini taaluma ya wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi

Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Serikali imesema itaendelea kuthamini taaluma ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji majenzi kwa kuwapatia tenda za miradi zinazojitokeza ili wasivunjike moyo waendelee kuwa wazalendo na nchi yao. Hayo yamesemwa na Oktoba 29,2024 Jijini Dar es Salaam…