JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Yah: Naamini wengi wetu ni bendera fuata upepo

Kuna wakati niliwahi kuandika barua mahususi katika uga huu, nikijaribu kuelezea madhara ya watu kuiga mambo na kushabikia bila kujua kile ambacho wanaiga kina madhara gani, wapo waigaji wa mambo bila kujua labda wanakoiga wanaigiza na siyo uhalisia. Mimi ni…

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari kuwa kiongozi wa kwanza wa Afrika kulakiwa na Donald Trump Marekani

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari atakuwa kiongozi wa kwanza wa taifa la kutoka bara Afrika kulakiwa na Rais wa Marekani Donald Trump White House atakapokutana na kiongozi huo kwa mashauriano rasmi mjini Washington baadaye leo. Marais wengine wa Afrika wamewahi…

Adhabu iliyotangazwa kwa watakaokamatwa wametupa takataka hovyo Jijini Dodoma

Siku tatu baada ya Rais Dkt Magufuli kuipandisha hadhi Manispaa ya Dodoma kuwa Jiji, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema kuwa, mtu yeyote atakayekamatwa akitupa takataka hovyo, atakamatwa na kutozwa faini ya TZS 50 milioni, ikiwa ni kwa…

SIMBA YAPATA HARUFU YAUBINGWA BAADA YA KUITANDIKA YANGA 1-0

Bao pekee la Erasto Nyoni limeipa Simba ushindi dhidi ya watani zao wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam . Nyoni alifunga bao hilo katika dakika ya 37 kwa…

SIMBA VS YANGA LEO SAA KUMI KAMILI JIONI

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga utakaochezwa leo Jumapili  29,2018 katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, utakuwa mgumu Zaidi ya chuma kutokana na historia ya timu hzio zinapokutana huwa ni vigumu kutabiri. Lakini…