JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

‘Maumivu ya kifua upande wa kushoto hutokana na tatizo la mshtuko wa moyo’

Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group, Dk Tulizo Shemu amesema changamoto za maumivu makali upande wa kushoto wa kifua wakati mwingine hutokana na tatizo la mstuko wa moyo. Kutokana na hili amewashauri jamii kufika hospitali…

Naibu Katibu Mkuu uchukuzi atembelea ofisi za TMA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Ndg. Ludovick Nduhiye amefanya ziara ya kutembelea ofisi za Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) zilizopo katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam ikiwa ni moja ya malengo yake ya kuzitambua Taasisi…

Miss Universe Afrika Kusini avuliwa uraia

IDARA ya Uhamiaji nchini Afrika ya Kusini imeamua kumnyang’anya utambulisho wa uraia Mrembo wa Afrika ya Kusini, Chidimma Adetshina baada ya kugundua amefanya  udanganyifu wa uraia wake. Agosti mwaka huu ,Chidimma Adetshina  alishinda taji la urembo la “Miss Universe South Africa”…