JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Harbinder Singh Sethi Aondolewa Kwenye Kampuni ya IPTL

Mwenyekiti wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi ameondolewa katika nafasi yake ya uenyekiti na bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo, baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya bodi kwa miezi sita mfululizo tangu…

Platinum Credit

  Vita ya mafuta Yahusisha wafanyabiashara vigogo Kamati ya Bunge sasa ‘yagawanyika’ Wajumbe baadhi waomba waondoke NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM Mpasuko umejitokeza ndani ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira; sababu kuu ikitajwa kuwa…

Platinum Credit yawaliza Watanzania

DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyakazi wa Kampuni ya Mikopo ya Platinum Credit Ltd Tanzania wamelalamikia kitendo cha kampuni hiyo kuwatoza wateja wake riba kubwa na kushinikiza taasisi za umma kuingia katika mikataba ya mikopo kwa rushwa. Wafanyakazi hao…

Tusi gani la kututoa usingizini?

Desemba 6, mwaka jana Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, alitangaza uamuzi wa Serikali wa kuundwa chombo maalumu ili kusimamia eneo la kilometa za mraba 1,500 katika Pori Tengefu la Loliondo. Akasema: “Baada ya kupitia mifumo mbalimbali, timu ya wataalam ilipendekeza kuwa…

Bandari ya Kyela yang’arisha Nyanda za Juu Kusini

Na Mwandishi Maalum   Katika makala ya wiki iliyopita tuliwaelezea umuhimu wa Bandari ya Kigoma katika kukuza maendeleo ya uchumi wa taifa letu ambalo lipo katika mapinduzi ya kuifanya Tanzania kuwa nchi inayotegemea uchumi wa viwanda. Katika makala hii tutawaelezea…

Ufisadi kwenye Miradi ya Maji

DODOMA. EDITHA MAJURA. Ufisadi kwenye Miradi ya Maji Madai ya baadhi ya watendaji wasiyo waadilifu kushirikiana na wakandarasi, kuiba fedha zinazoidhinishwa na Bunge na kutolewa na serikali kwa ajili ya kujenga miradi ya maji, ni miongoni mwa hoja zilizounganisha wabunge…