JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Njombe Mji FC Kubaki Ligi Kuu ni Kudra za Mwenyezi Mungu tu

Kikosi cha Mtibwa Sugar kimepeleka maumivu mjini Njombe kwa kuifunga Njombe Mji FC bao 1-0 na kuondoa rasmi ndoto za kuendelea kusalia kunako Ligi Kuu Bara msimu ujao. Bao pekee la Mtibwa katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Sabasaba mjini…

Matokeo rasmi ya kura ya maoni kutangazwa leo Burundi

Tume ya uchaguzi nchini Burundi imesema itatangaza matokeo ya kura ya maoni baadaye hii leo licha ya kiongozi wa upinzani, Agathon Rwasa kusema kuwa hatakubali matokeo hayo. Rwasa ameitaka tume ya uchaguzi kufutilia mbali matokeo na kuitisha kura upya kwa…

Trump ataka kujua kama FBI walichunguza kampeni zake

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa anahitaji uchunguzi kufanyika ilikubaini kama shirika la upelelezi la FBI lilijipenyeza kuchunguza kampeni zake kwa maslahi ya kisiasa. Kupitia ukurasa wake wa tweeter,Trump amesema kuwa anahitaji kujua kama mtangulizi wake aliagiza kitu kama…

UVCCM Mkoa wa Dar Watakiwa Kusimamia Misingi ya Chama Chao

Katibu wa Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM)  mkoa wa Dar es Salaam amewataka vijana wa Jumuiya ya vijana mkoa wa Dar esSalaam kusimamia Misingi ya Jumuiya hiyo kwani ndiyo nguzo kuu ya chama inayozalisha viongozi mbalimbali wa Chama na serikali….

Tetesi: Mikel Arteta amekubali kuwa meneja mpya wa Arsenal

Kiungo wa kati wa zamani wa Arsenal na Uhispania Mikel Arteta amekubali kuteuliwa kuwa meneja mpya wa klabu hiyo ya England. (Goal.com) Iwapo Arteta, ambaye kwa sasa ni mkufunzi msaidizi Manchester City ataondoka Etihad na kwenda Emirates, Pep Guardiola anapanga…