Latest Posts
Vijana Queens yafutiwa matokeo
Timu ya wanawake ya Vijana Queens iliyokuwa inashiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam imefutiwa matokeo ya mchezo wake wa nusu fainali namba 504 ilipocheza dhidi ya JKT Stars. Taarifa ya Kamati ya Ufundi na Mashindano ya Chama…
NMB kuchangia bil.1/- matibabu ya watoto JKCI
Na Mwandishi Wetu BENKI ya NMB na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamesaini makubaliano ya ushirikiano yatakayowezesha benki hiyo kusaidia gharama za matibabu ya watoto wanaotibiwa katika taasisi hiyo kwa kiasi cha Sh. Bilioni 1 kwa miaka minne,…
Benki ya Dunia yaridhishwa na utekelezaji wa mradi wa Heet Chuo Kikuu Mzumbe
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia umeonesha kuridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaoendelea Chuo Kikuu Mzumbe, baada ya kufanya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa majengo mapya ya taaluma. Mradi huu unalenga…
Watoto 85 wapatikana kwa upandikizaji mimba Kairuki Green IVF
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JUMLA ya watoto 85 wamezaliwa kwa huduma ya kupandikiza mimba inayotolewa na kituo cha Kairuki Green IVF tangu kuanzishwa kwake mwaka 2022. Hayo yalisemwa jana Bunju Mianzini jijini Dar es Salaam kilipo kituo…
Naibu Rais Mteule Kithure Kindiki kuapishwa leo
Kamati maalum imebuniwa kupanga kuapishwa kwa Kithure Kindiki kama Naibu Rais mpya nchini Kenya. Mkuu wa Wafanyakazi ambaye pia ni Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Kosgei ametangaza kwenye gazeti la serikali kamati ya wanachama 23 kusimamia kuandaliwa kwa hafla…
Waliotuhumiwa kuingilia mfumo ya mawasiliano wasomewa mashtaka 120
Watuhumiwa 20 wa makosa ya kuingilia mifumo ya mawasiliano wamefikishwa Mahakamani jana jioni katika mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha huku wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi yanayojumuisha makosa 120 ikiwemo Utakatishaji wa Fedha. Akisoma mashtaka katika kesi namba 30977 ya…