JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Uboreshaji wa Daftari Mikoa ya Irunga, Mbeya kuanza Desemba 27 mwaka huu

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema uwepo wa mawakala kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura ni kielelezo cha uwazi kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya watendaji wa uboreshaji…

Askofu Mkuu atakiwa kujiuzulu kwa kushindwa kushughulikia kesi ya unyanyasaji wa ngono

Askofu Mkuu wa York, Stephen Cottrell anakabiliwa na wito wa kujiuzulu kwa kushindwa kushughulikia kesi ya unyanyasaji wa kingono, siku chache kabla ya kuchukua mamlaka ya muda ya Kanisa la England. Uchunguzi wa BBC unaonyesha, akiwa Askofu wa Chelmsford, Cottrell…

Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo…

Vijana wahimizwa kujiwekea akiba kwa manufaa ya sasa na baadae

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam VIJANA nchini wamehimizwa kutumia vizuri vipato wanavyopata kujiwekea akiba ili kumudu maisha yao ya sasa na baadaye. Wito huo umetolewa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya…

Tanzania, Ethiopia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Ethiopia zimesisitiza juu ya umuhimu wa kutumia fursa za ushirikiano zilizokubaliwa kati ya nchi hizo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kwa maendeleo endelevu ya watu wake…

Hatma ya Rwanda, DRC Congo bado haijulikani

Mazungumzo yaliyopangwa kufanyika Jumapili ya viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kumaliza mzozo wa Mashariki mwa Congo yamefutwa baada ya majadiliano kukwama. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mpatanishi wa Umoja wa Afrika kwa  ajili ya kumaliza…