JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Loris Karius: Kipa wa Liverpool atishiwa maisha baada ya makosa dhidi ya Real Madrid fainali ya ubingwa Ulaya

Polisi wa eneo la Merseyside, Uingereza wamesema wanafahamu kuhusu vitisho vya maisha ambavyo vimetolewa dhidi ya mlinda lango wa Liverpool Loris Karius baada ya kuchezwa kwa fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Jumamosi. Maafisa wamesema vitisho vyovyote vinavyotolewa kupitia…

REAL MADRID MABINGWA ULAYA, WAMEWATANDIKA LIVERPOOL MABAO 3-1

Real Madrid ya Hispania usiku huu wamefanikiwa kunyakua taji la Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuwalaza Liverpool kwa mabao 3-1. Awali mchezo huo, ulikuwa wa kasi na kuvutia, ambapo dakika 45 za kipindi cha kwanza milango ilikuwa migumu na matokeo…

Mbunge wa CHADEMA amefariki

Mbunge wa jimbo la Buyungu mkoani Kigoma, Kasuku Samson Bilago (CHADEMA) amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili. Kupitia ukurasa wa Twitter wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amethibitisha Marehemu Bilango alikua anakabiliwa na maradhi ya utumbo, ambapo alisafirishwa kwa…

Viongozi wa Korea wafanya mkutano wa ghafla

  Viongozi wa Korea Kaskazini na Kusini wamekutana eneo lenye ulinzi mkali kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huo ndio wa pili kati ya rais wa Korea Kusini Moon Jae-in na kiongozi wa Korea Kusini Kim Jong-un. Unafanyika wakati pande…

Ajali ya barabarani Uganda yauwa 23, kujeruhi 25

Watu 23 wamefariki dunia na wengine 25 wamejeruhiwa kwa ajali mbaya basi iliyotokea wilaya ya Kiryandongo nchini Uganda. Polisi wamesema basi linalomilikiwa na kampuni ya Gaagaa bus liligonga trekta kwa nyuma na baada ya hapo, kupoteza muelekeo na kusababisha kugongana…