JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mapya yabainika St. Florence

*Imejengwa na kuziba barabara ya mtaa *Mmiliki, wanafunzi waishi eneo moja   NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM   Shule ya St. Florence Academy iliyopo Mikocheni, Dar es Salaam, ambayo mwalimu wake anatuhumiwa kuwadhalilisha kingono wanafunzi wa kike wanne, inadaiwa…

Bandari ni salama njoo tukuhudumie

Na Mwandishi Maalum Makala ya mwisho katika mfufulizo wa makala za Bandari tuliona jinsi Bandari ya Mwanza ilivyo kiungo muhimu kwa uchumi na biashara katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, nchi za Afrika Mashariki na maeneo mengine. Leo katika makala…

Mchungaji auawa akiwabatiza waumini Ziwani

Mchungaji wa Kiprotestanti Docho Eshete aliyekuwa akibatiza watu katika ziwa Ayaba kusini mwa Ethiopia ameuawa na mamba. Mashambulizi yaliyo karibu na mji wa Arba Minch yanahusishwa na kupunguza idadi ya samaki ambacho ni chakula cha Mamba na hivyo kuanza kuvamia…

Simba sc Kuwalipia Kisasi Yanga

Baada ya kuiondosha Kariobangi Sharks FC katika michuano ya SportPesa Super Cup, klabu ya Simba itakutana na wababe wa Yanga, Kakamega HomeBoyz, kesho Alhamis kwenye Uwanja wa Afraha. Michuano hiyo inayoendelea mjini Nakuru itakuwa inazikutanisha Simba na Kakamega kwenye mchezo…

Kenya Yapiga Marufuku Kuwatembelea Watoto Shuleni

Wizara ya Elimu nchini Kenya imeivunjilia mbali bodi ya usimamizi wa shule ya Moi Girls na kutangaza kwamba ni marufuku kuwatembelea watoto shuleni baada ya mapumziko ya katikati ya muhula kwa shule zote za upili za umma. Hii ni kufuatia…

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia Mkoani Kigoma

BREAKING NEWS: Watu 7 wanaripoatiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa Baada Basi la Abiria (PrinceAmida) lililokua likitokea Kigoma kuelekea Tabora kugongana na treni eneo la Gungu Relini Soweto Mkoani Kigoma. Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.