JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU ENGLAND IMETOKA, ARSENAL KUANZA NA MANCHESTER

Ratiba ya Ligi Kuu England imetoka rasmi leo ambapo mechi za kwanza zitaanza kuchezwa Jumamosi ya Agosti 11 2018. Ratiba inaonesha Arsenal itaanza na mabingwa watetezi wa taji hilo, Manchester City huku Man United wakianza na Leicester City. Ratiba kamili…

MAKAMU RAIS ZFA PEMBA AACHIA NGAZI

MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Pemba, Ali Mohammed Ali, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo. Makamu huyo ameungana na Rais wa chama hicho, Ravia Idarous Faina, Makamu wa Rais Unguja, Mzee Zamu Ali na Abdul Ghani Msoma….

WACHEZAJI WA SIMBA WAPITA KWENYE TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), imekamilisha uteuzi wa wachezaji 3 watakaowania tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2017/2018. Wachezaji watatu waliobaki katika kinyang’anyiro hicho ni Emmanuel Okwi, John Bocco…

Marekani inaitaka Korea Kaskazini kuangamiza silaha ifikapo 2020

Marekani ina matumaini ya kuanza kuona shughuli ya kuangamizwa silaha nchini Korea Kaskazini ifikapo mwaka 2020, mwa mujibu wa waziri wa mashauri ya nchi za kigeni Mike Pompeo. Matamshi yake aliyoyatoa alipofanya ziara nchini Korea Kusini, yanafuataia mkutano kati ya…

Kombe la Dunia Kuanza kensho na Wenyeji Urusi Dhidi ya Saudi Arabia

Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia. Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa Kundi A: Russia, Saudi Arabia, Egypt na…