JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Unyama polisi

Unyama polisi *Mahabusu aliyejifungulia polisi hatimaye azungumza *Polisi wawa ‘miungu-watu’, wananchi wakosa mtetezi *Mbunge afichua rushwa, unyanyasaji, kubambikia kesi   KILOMBERO, NA CLEMENT MAGEMBE “Mungu ndiye kimbilio hatuna tena mwingine”, haya ndiyo maneno yaliyoandikwa kwenye kanga iliyotumiwa na mahabusu Amina…

Tanzia: Profesa wa Upasuaji Chuo Kikuu Muhimbili Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), Prof. Adrea Pembe anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Leonard Lema kilichotokea leo asubuhi tarehe 18 Juni 2018 katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Prof. Lema alikuwa ni…

BAJETI YA UPINZANI YAZUIWA BUNGENI, WENYEWE WASUSA

Hotuba ya Bajeti mbadala ya Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni imekataliwa bungeni kutokana na kuwasilishwa nje ya utaratibu. Wabunge wa upinzani (isipokuwa wanaomuunga mkono Prof Lipumba ) wameondoka kwenye ukumbi wa Bunge.

ZANZIBAR VIJANA WAHAMASISHWA KUOA WAJANE

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Asha Suleiman Iddi amesema wajane wengi wanaweza kuondokana na changamoto zinazowakabili iwapo vijana wataamua kuwaoa. Iddi alisema hayo katika utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mashindano ya kaswida yaliyoshirikisha madrasa…

Messi: Inaniuma sana kukosa penalti Kombe la Dunia

Lionel Messi amesema inamuumiza sana baada ya Penati yake dhidi ya Iceland kuokolewa wakati Argentina ilipokutana na Iceland. Mkwaju wa penati wa Mchezaji huyu,30 na nyota wa Barcelona haukuleta madhara mbele ya mlinda mlango Hannes Halldorsson na kufanya timu hizi…

Simba Sc Kucheza Kagame Bila Mastaa wake

SIMBA imamua kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mastaa ambao wameachwa katika mashindano hayo ni Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Jonas Mkude. Michuano hiyo imepangwa…