JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mwenyekiti CHADEMA Ashambuliwa kwa Mapanga na Mishale

MWENYEKITI wa Serikali ya Kijiji cha Mwikatsi wilayani Babati mkoani Manyara, Simon Lala (CHADEMA) ameshambuliwa na kujeruhiwa kwa mishale na mapanga na watu wasiojulikana kwa kile kilichodaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi.     Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara,…

Mwanamuziki XXXTentacion auawa kwa kupigwa risasi Florida, Marekani

Mwanamuziki wa nyimbo za rap Marekani XXXTentacion, ambaye alipata umaarufu kwa haraka kupitia albamu zake mbili ameuawa kwa kupigwa risasi akiwa na miaka 20. Alikuwa anaondoka kwenye duka la kuuza pikipiki kusini mwa Florida Jumatatu pale mtu mwenye bunduki alipomfyatulia…

‘Spiderman’ aliyemuokoa mtoto Ufaransa arejea kwao Mali

Mhamiaji raia wa Mali Mamoudou Gassama, ambaye alipata umaarufu kote duniani mwezi uliopita wakati alikwea jengo mjini Paris, Ufaransa kumukoa mtoto, amesema amefurahishwa sana kurudi kwao Mali kutembea. “Nina furaha sana. Nina furaha sana sana kwa sababu kila mtu alikuja…

Les Mangelepa alivyounda bendi ya Baba Gaston

NA MOSHY KIYUNGI Hapana shaka wadau wa muziki wanazikumbuka baadhi ya nyimbo mashuhuri zilizotamba wakati huo za Embakasi na Nyakokonya, zilizopigwa na bendi ya Orchestra Les Mangelepa. Les Mangelepa ilikuwa na wanamuziki wengi wao wakiwa ni raia toka Jamhuri ya…

Upangaji kabla ujenzi wa jengo kukamilika

NA BASHIR YAKUB Sehemu nyingi za mijini utaona majengo marefu na makubwa ambayo yamekuwa yakijengwa, mengi ya majengo hayo huwa yanapangishwa hata kabla ya ujenzi wake kukamilika. Mengine hupangwa hata kabla ya ujenzi kuanza, watu hutizama tu ramani ya jengo…