JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Mnangagwa Asema Uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa

Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amesema uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa tarehe 30 mwezi Julai, ingawa kulitokea alichokiita jaribio la kukatiza uhai wake lililotokea siku ya Jumamosi. Katika hatua nyingine, msemaji wa Polisi, Charity Charamba amevitaka vyombo vya habari na Umma…

Tangazo lililowahimiza wanawake kuzaa na wachezaji wa nje Urusi lashutumiwa

  Maduka maarufu ya vyakula nchini Urusi yameomba msamaha baada ya kutangaza zawadi ya dola 47,000 na 'burger' (mkate maalum uliotiwa nyama) maishani kwa mwanamke yeyote ambaye angejamiiana na kuzaa mtoto na mchezaji wa kandanda kutoka nchi za nje katika…

Erdogan ashinda muhula wa pili wa urais Uturuki

Tume ya uchaguzi nchini Uturuki imemtangaza Rais Recep Tayyip Erdogan kama mshindi wa nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu uliofanyika June 24. Erdogan ambaye aliingia madarakani 2014 ameshinda muhula wake wa pili kwa ailimia 53 ya kura zote zilizohesabiwa akiepuka…

Brazili Yaitandika Costa Rica Dakika zanyongeza

Kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kimesafisha makosa yake iliyoyaonyesha katika mchezo wa kwanza dhidi ya Switzerland kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica leo. Mabao ya Brazil yamewekwa kimiani katika dakika za nyongeza kuelekea…