JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NI VITA KOMBE LA DUNIA, URENO VS URUGUAY HUKU SPAIN WAKIKIPIGA NA URUSI

Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Iran usiku wa jana, timu ya taifa ya Ureno sasa itakutana na Uruguay katika mchezo unaofuata ya 16 bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi. Mchezo huo ulimazika kwa sare…

Mwanamume afunga ndoa na wanawake wawili wakati mmoja

Kijana mmoja raia wa Somalia ambaye alioa wanawake wawili usiku mmoja amesema kwamba atawashawishi wanaume wengine kufanya hivyo. Bashir Mohamed anasema kuwa aliwachumbia wanawake wote kwa takriban miezi minane na kuwashawishi kufunga ndoa naye. ”Nilikuwa nikiwaleta nyumbaji wote pamoja”, alisema….

Miaka 9 tokea kifo cha Michael Jackson, kuna haya ya kuyafahamu

Miaka tisa tokea dunia ipate taarifa za kifo cha mfalme wa muziki wa Pop duniani Marehemu Michael Jackson ambaye alifahamika duniani kote kutokana na upekee aliokuwa nao katika uchezaji pamoja na nyimbo zake ambazo zilipendwa na watu wengi ulimwenguni. Marehemu…

Mtu wa pili kutembea kwenye Mwezi awashtaki wanawe

Mwanaanga maarufu kutoka Marekani Buzz Aldrin amewashtaki watoto wake wawili na meneja wa zamani wa biashara zake akidai kwamba waliiba pesa zake. Aidha, anadai walimharibia sifa ambazo amejizolea katika maisha yake. Kesi hiyo, ambayo ilifichuliwa Jumatatu, iliwasilishwa katika mahakama moja…

MUUZA SAMBUSA ZA NYAMA YA PAKA KENYA AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 3 JELA

Mtu aliyetuhumiwa kwa kuuza nyama ya paka wauzaji sambusa amehukumwa kifungo cha miaka mitatu na mahakama ya Nakuru Hakimu mkuu Benard Mararo alimhukumu James Mukangu Kimani baada ya kukiri kosa hilo alipowasili katika mahakama hiyo siku ya Jumatatu. Bwana Kimani…