Latest Posts
Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme wa gridi Mtwara na Lindi – Kapinga
📌 Lengo ni kuimarisha upatikanaji wa umeme 📌 Fidia kulipwa kwa wanaopisha mradi Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya…
Gwiji Mike Tyson kurejea ulingoni baada ya miaka 19
Na Isri Mohamed Ikiwa ni miaka takribani 19 na miezi mitano imepita tangu Gwiji wa masumbwi duniani, Mike Tyson (58), atangaze kustaafu ngumi za ushindani, hatimaye ametangaza kurejea katika ngumi za kulipwa na anatarajia kupanda tena ulingoni Novemba 15, 2024…
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa baada ya radi kupiga kanisa Uganda
Watu 14 waliuawa na wengine 34 kujeruhiwa baada ya radi kupiga kanisa katika wilaya ya kaskazini mwa Uganda ya Lamwo Jumamosi, Polisi walisema. Kanisa hilo liko katika kambi ya wakimbizi ya Palabek, Citizen imeripoti. Msemaji wa Polisi wa Uganda Kituuma…
Mkuu wa Majeshi awasili Mara kushiriki mazishi ya marehemu Jenerali Msuguri
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda amewasili nyumbani kwa Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri wilayani Butiama Mkoani Mara tarehe 03 Novemba 2024 kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa wafiwa na kukagua maandalizi…
Vigogo ACT Wazalendo wakutana makao makuu
KAMATI ya Uongozi ya Chama cha ACT-Wazalendo imekutana leo katika Ukumbi wa Juma Duni Haji ulioko katika Jengo la Maalim Seif Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar es salaam. Kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu ameongoza kikao hicho kilichojaa…
TARURA Kilimanjaro yatimiza ahadi ya Rais Samia
WAKALA ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Kilimanjaro imekamikisha ujenzi wa barabara ya Kisinane C yenye urefu wa Km. 0.80 kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo ni ahadi ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Oktoba 2021…