JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Belgium v England: Romelu Lukaku kuikosa mechi muhimu Kombe la Dunia

Mshambuliaji wa Ubelgiji Romelu Lukaku anatarajiwa kuikosa mechi muhimu katika Kombe la Dunia dhidi ya England Alhamisi. Mechi hiyo itakayochezewa mjini Kaliningrad inatarajiwa kuamua nani atamalizakileleni katika Kundi G. Mchezo huo utaanza saa tatu saa za Afrika Mashariki. Mshambuliaji huyo…

UONGOZI GOR MAHIA WAJA JUU KUHUSIANA NA KAGERE, WAELEZA ALIDANGANYA

Imeelezwa uongozi wa Gor Mahia FC umeshangazwa na kitendo cha mshambuliaji wao tegemeo, Meddie Kagere kujiunga na klabu ya Simba kwa kusaini mkataba wa miaka miwili. Wakati Kagere akiwa nchini Kenya ikiwa ni wiki kadhaa zimepita baada ya mashindano ya…

Ujeruman Yaendeleza Record ya Bingwa Mtetezi Kutolewa Htaua ya Makundi

Imekuwa kawaida kwa bingwa wa Kombe la Dunia kutolewa hatua ya makundi, lakini hakuna aliyetegemea hilo lingetokea kwa Ujerumani. Ujerumani haikuwahi kutolewa katika hatua ya makundi katika miaka 80 iliyopita. Korea Kusini wameilaza kwa mabao 2-0 na kuitupa nje katika…

Baba Mzazi wa Michael Jackson Amefariki

Baba mzazi wa Micheal Jackson, Joe Jackson amefariki dunia jioni ya jana akiwa na umri wa miaka 89 alikuwa akisumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa saratani. Ikumbukwe June 25 ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitano ya kifo cha mtoto…