JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Wachezaji wageni, changamoto kwa wazawa

NA MICHAEL SARUNGI Wachezaji wa ndani wanatakiwa kupambana na kuwa tayari kukabiliana na ongezeko la wachezaji wa kigeni wanaotarajiwa kuanzia msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania bara. Wakizungumza na JAMHURI siku  chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) kupitia Rais…

MAFANIKIO YOYOTE YANA SABABU (27)

Padre Dk. Faustin Kamugisha Sala na kazi ni sababu ya mafanikio. “Sali kana kwamba kila kitu kinamtegemea Mungu, na fanya kazi kana kwamba kila kitu kinakutegemea wewe,” alisema Mt. Augustino wa Hippo Afrika ya Kaskazini. Kanuni hii ya mafanikio kwa…

TAZAMA MATOKEO KIDATO CHA SITA 2018 HAPA

BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta), limetangaza matokeo ya kidato cha sita leo Julai 13 na kuzitaja shule zilizoshika mkia kuwa ni pamoja na ya wasichana ya Jangwani, ya Jijini Dar es Salaam. Ubora wa ufaulu kwa watahiniwa wa shule…

CHIRWA ASAJILIWA DARAJA LA PILI MISRI

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club. MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga raia wa Zambia, Obrey Chirwa rasmi amesaini mkataba na Klabu ya Nogoom El Mostakbal Football Club ya…