JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

NMB yazindua Programu Endelevu ya Fedha ‘NMB Nondo za Pesa’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua Programu Endelevu ya Elimu ya Fedha iitwayo NMB Nondo…

Madaktari bingwa zaidi ya 60 kutoa huduma za matibabu Mwanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Zaidi ya Madaktari bingwa 60 wameweka kambi Jijini Mwanza kwaajili ya kutoa huduma mbalimbali za kimatibabu kwa wananchi pamoja na kuwajengea uwezo watoa huduma katika hospitali zao ili waweze kuendelea kutoa huduma zilizo bora. Hayo…

Dk Biteko : Jenerali Musuguri ameacha alama ya uzalendo na kujitoa kwa ajili ya taifa

 *Serikali itaenzi na kuthamini mchango wake   *Asema Jenerali Musuguri alijitolea kuhakikisha Tanzania inabaki na amani na usalama  *Asema alikuwa mstari wa mbele kuliokoa Taifa  *Aiasa jamii kuacha alama katika maisha ya kila siku  *Dkt. Biteko aongoza mamia ya watu…

PPRA yajivunia mafanikio kupitia NeST, yaokoa bilioni 14.94/-

Na Stella Aron, JamhuriMedia ,Dar es Salaam Jumla ya Taassi za ununuzi 21,851 zimesajiliwa na zinatumia mfumo wa kielektroniki wa Ununuzi wa Umma (NeST) ambapo bajeti ya ununuzi ya zaidi ya shilingi trilioni 38.6 imewekwa kwenye mfumo wa NeST kama…

Muigizaji Grace Mapunda ‘ Tesa’ azikwa Dar

Na Isri Mohamed Mwili wa muigizaji Grace Vicent Mapunda maarufu kwa jina la Tesa umezikwa leo Novemba 4, 2024 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. Awali kabla ya mazishi mwili wake ulipewa heshima za mwisho katika hafla iliyofanyika…

Wizara ya Fedha yataka wafanyabiashara kukopa mikopo rasmi ili kukuza uchumi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI kupitia Wizara ya fedha imewataka wafanyabiashara kote nchini kukopa mikopo rasmi kwenye taasisi za kifedha zinazotambulika ambazo zitaleta unafuu wa riba na kuwa na faida kwenye uchumi wa mtu mmoja mmoja. Hayo yameelezwa leo November…