JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Ndugu Rais wastaafu walichotuambia tumekielewa?

Ndugu Rais, mwanadamu mambo yake yanapomwendea kwa ufanisi mkubwa haombi ushauri. Anaomba ushauri yule ambaye kuendelea kwake kunampatia wasiwasi. Ndiyo kusema kama tumekubali kuwa tunahitaji ushauri kutoka kwa viongozi wetu wakuu wastaafu sasa, tunakiri kuwa kuna tatizo katika kuongoza au…

Rais Magufuli ateuliwa mshindi wa tuzo ya Ukombozi Afrika

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli ameibuka mshindi wa tuzo ya Afrika katika masuala ya uchumi. Makamo mwenyekiti wa kamati ya tuzo ya ukombozi Afrika, Mwebesa Rwebugia ameieleza BBC kwamba rais Magufuli ameibuka mshindi kutokana na mchango wake wa kiuchumi…

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere

Rais Dkt. Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwl. Julius Nyerere kilichopo Kibaha, Pwani. Chuo hicho kinajengwa kwa gharama ya Sh. Bil 100, kwa ufadhili kutoka chama cha CPC cha China kwa ajili ya…

Lugola Ampa Siku 10 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho- NIDA

Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Kangi Lugola ametoa siku zisizozidi kumi kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho NIDA, akiwa na kampuni ya Iris Dilham kufika ofisini kwake mjini Dodoma ili kueleza sababu ya kutofika kwa mtambo wa kuchapisha…

Mgombea wa Udiwani Kata ya Turwa, Tarime Kupitia CCM Amepita Bila Kupingwa

Mkurugenzi wa Halamshauri ya Mji wa Tarime Elias Ntiruhungwa ameamua kumutangaza aliyekuwa Mgombea udiwani kata ya Turwa kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi Bw Chacha Mwita Ghati kwa madai kuwa amepita bila kupingwa huku akieleza kuwa wagombea Wenzake kutoka vyama…